KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

Mwanamke akiwa kwenye hedhi kuna mambo mengi anayabeba kuliko huo uchafu unaoongelea,
Jiulize inakuaje akichuma pilipili, chungwa, mchaichai, majani ya maboga, n.k akiwa kwenye hiyo hali mmea mzima unanyauka, hapo utagundua kuna zaidi ya huo uchafu.
Hizi ni stori za kutunga ukahadithiwa na wewe ukazibeba kama zilivyo hakuna kitu kama hicho hii ni mbinu ya kumnyanyapaa mwanamke .
 
Haina shida kabisa. Kuwa katika siku zake ni mambo ya mwilini na ibada ni ya rohoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…