Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Nani kakuuliza?Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year caf ranking for 2022/23
Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii
View attachment 2181690
NB klabu ya tano ni Mamelodi inayotokea South Africa kwa akina ORLANDO PIRATES
"chuki"Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year caf ranking for 2022/23
Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii
View attachment 2181690
NB klabu ya tano ni Mamelodi inayotokea South Africa kwa akina ORLANDO PIRATES
Nani kakualika kwenye uzi? umekasirika nini? mbona hakuna mahala popote nilipotaja makolo?Nani kakuuliza?
Al Ahly, Zamalek na Berkane hawajawahi kutuita kitimu..Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year caf ranking for 2022/23
Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii
View attachment 2181690
NB klabu ya tano ni Mamelodi inayotokea South Africa kwa akina ORLANDO PIRATES
"kolo""chuki"
Hongereni sana timu kubwa AFRIKA isiyo na ubingwa wa kombe lolote la AFRIKAAl Ahly, Zamalek na Berkane hawajawahi kutuita kitimu..
Umejuaje kwamba ni makolo?Nani kakualika kwenye uzi? umekasirika nini? mbona hakuna mahala popote nilipotaja makolo?
Wivu utakuua.Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year caf ranking for 2022/23
Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii
View attachment 2181690
NB klabu ya tano ni Mamelodi inayotokea South Africa kwa akina ORLANDO PIRATES
tabia hizi hakuna wengine wenye nazo Zaidi ya MAKOLOUmejuaje kwamba ni makolo?
Najua sana ulipoona kichwa cha habari ukakimbilia ukijua KOLO litakuwemo ulipolikosa ndipo ukaamua kumalizia hasira zako kwangu
Unawashwa sana wewe. Lete top 15.Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year caf ranking for 2022/23
Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii
View attachment 2181690
NB klabu ya tano ni Mamelodi inayotokea South Africa kwa akina ORLANDO PIRATES
kwa hiyo Timu bora AFRIKA haionekani mpaka tutaje 20, tangu lini ishirini ikawa Bora afrika yenyewe ina nchi 50+ sasa ishirini si ni karibu nusu ya vilabu vyote vya maanaKuitaja yanga kwenye post kama hii ni dhambi. Taja 20 bora tuone.
Zamalek huyu aliyeishia kwenye makundi anaingiaje hapa??Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year caf ranking for 2022/23
Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii
View attachment 2181690
NB klabu ya tano ni Mamelodi inayotokea South Africa kwa akina ORLANDO PIRATES
bando langu tusipangiane, KOLO hayumo top tenUnawashwa sana wewe. Lete top 15.
kilichomfikisha hapo ni mafanikio ya jumla ya miaka mitano 2022, 2021, 2020, 2019, 2018 hebu kachungulie uone mibalaa siyo virobo fainali vyenu mnatupigia mikeleleZamalek huyu aliyeishia kwenye makundi anaingiaje hapa??
Zamalek huyu aliyeishia kwenye makundi anaingiaje hapa??
Hawa zamalek tuliwatoa pale Cairo mwaka 2003. Labda ulikuwa hujazaliwa. Tena walikuwa mabingwa watetezi.Acha kufananisha zamalek na vitu vya kijinga mkuu