Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Hayawi hayawi hatimae yale matamko,majigambo na mbwembwe nyingi yametimia leo huko Zambia kwa Mabingwa wa kihistoria Yanga kupindua Meza kibabe kwa kubamizwa Goli 2-1 na Zesco ya zambia.Hongera sana wazee wa Vipensi.
 
Daah! Imefungwa timu ya Wananchi ila Mikia ndio wanaweweseka. 🀣🀣🀣🀣
Bado tupo shirikisho jamaani. Futeni jasho mpumzike msubiri yajayo. Teh teh
Alisikika BI MWENDA akisema

Bwahahahahahahahahahaha Bwehehehehehehehehehehe Bwihihihihihihihihihihihihihihi Bwohohohohohohohohohoho Bwuhuhuhuhuhuhuhuhuhuhu
 
Najifundisha kuandika Insha.

Abduli-Azizi Makame ni nini?
Hii ni process ambayo imemsaidia ZESCO United kuingia katika makundi ya ligi ya mabingwa barani afrika.
 
Nawaona Kimawataifa walivyodhalilika leo baada ya kujengewa false hope na Mwinyi Zuhura kwa ati wangeshinda Zambia [emoji23]
 
Ama kweli kutolewa mapema ni ugonjwa mbaya sana. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Poleni Mikia na tungeshinda leo kwa raha ninazoziona hapa wengi mngepata Ugonjwa wa moyo.

Mshukuruni Makame. Teh
To be honest mmejitahidi sana...ni bahati tu haikua upande wenu..so far timu imekua na muunganiko mzuri..hope mtafanya vizuri kwenye shirikisho!
 
Najifundisha kuandika Insha.

Abduli-Azizi Makame ni nini?
Hii ni process ambayo imemsaidia ZESCO United kuingia katika makundi ya ligi ya mabingwa barani afrika.

Huyo ni yule aliyeamua kujitia kidole baada ya kuona Zesco wana kibamia [emoji23] [emoji23][emoji23]
 
Sehemu iliyimshinda Myama Simba aliyeingia kwa Nguvu zake eti akaiweze Ndala aliyeingia kwa Msaada na huruma za Simba! [emoji23] [emoji23][emoji23]
Sasa Mtani mbona hii furaha yenu inaonyesha hamlijui hilo.

Maana mmefurahi mpaka tunawaza hivi Yanga ndio ipo Juu kuliko Simba ama. 😎
 
Makame na Ali Ali ni wachezaji hatari wanaocheza Ndala kwa mkopo kutoka Zesco United..! Kuifungia timu yao ni kawaida tu..![emoji23][emoji23]

Nchi hii bila Simba SC hakuna la maana kwenye soka, naona hata zile alama za CAF zitashuka..!
Ama kweli kutolewa mapema ni ugonjwa mbaya sana. [emoji3][emoji3][emoji3]

Poleni Mikia na tungeshinda leo kwa raha ninazoziona hapa wengi mngepata Ugonjwa wa moyo.

Mshukuruni Makame. Teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…