mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Dunia haina hurumaa
Dunia haina hurumaaaaa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].
Dunia haina hurumaaaaa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amsha amsha zimewafanya wawe kideoni dkk zote 90. Chezea Yanga nyie.
Alisikika BI MWENDA akisemaDaah! Imefungwa timu ya Wananchi ila Mikia ndio wanaweweseka. 🤣🤣🤣🤣
Bado tupo shirikisho jamaani. Futeni jasho mpumzike msubiri yajayo. Teh teh
Mtani hii ndio Yanga sasa yaani inawapa raha tu. 😎😎Alisikika BI MWENDA akisema
Bwahahahahahahahahahaha Bwehehehehehehehehehehe Bwihihihihihihihihihihihihihihi Bwohohohohohohohohohoho Bwuhuhuhuhuhuhuhuhuhuhu
I miss you MtaniAma kweli kutolewa mapema ni ugonjwa mbaya sana. 😀😀😀
Poleni Mikia na tungeshinda leo kwa raha ninazoziona hapa wengi mngepata Ugonjwa wa moyo.
Mshukuruni Makame. Teh
Madem wa Zesco mmeufyata
Kheri kabisa Mtani.I miss you Mtani
Kheri
Kawaida tu Mtani. Kama mkia alishatepeteshwa nyuma kuna ajabu eti hapo?Wapo shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini..Wametepeta Leo
To be honest mmejitahidi sana...ni bahati tu haikua upande wenu..so far timu imekua na muunganiko mzuri..hope mtafanya vizuri kwenye shirikisho!Ama kweli kutolewa mapema ni ugonjwa mbaya sana. 😀😀😀
Poleni Mikia na tungeshinda leo kwa raha ninazoziona hapa wengi mngepata Ugonjwa wa moyo.
Mshukuruni Makame. Teh
Mmmh. Hizi kauli mnatoaga nyie tu. Aiseeee!!!!.Naona baada ya Kuona ZESCO wana Kibamia Vyura Mumeamua Kujitia Kidole wenyewe? [emoji23] [emoji23][emoji23]
Najifundisha kuandika Insha.
Abduli-Azizi Makame ni nini?
Hii ni process ambayo imemsaidia ZESCO United kuingia katika makundi ya ligi ya mabingwa barani afrika.
🙏🙏🙏 Kabisa usemalo Kaka hatujawa wanyonge kwao na ndio sababu hatujapigwa Hamsa. 😀😀😀😀To be honest mmejitahidi sana...ni bahati tu haikua upande wenu..so far timu imekua na muunganiko mzuri..hope mtafanya vizuri kwenye shirikisho!
Mmmh. Hizi kauli mnatoaga nyie tu. Aiseeee!!!!.
Sasa Mtani mbona hii furaha yenu inaonyesha hamlijui hilo.Sehemu iliyimshinda Myama Simba aliyeingia kwa Nguvu zake eti akaiweze Ndala aliyeingia kwa Msaada na huruma za Simba! [emoji23] [emoji23][emoji23]
Ama kweli kutolewa mapema ni ugonjwa mbaya sana. [emoji3][emoji3][emoji3]
Poleni Mikia na tungeshinda leo kwa raha ninazoziona hapa wengi mngepata Ugonjwa wa moyo.
Mshukuruni Makame. Teh