Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Ally mtoni atajifunga na hilo goli litadumu mpaka dakika ya 80 ambapo wazambia watapata penalti na kuwalaza yanga 2-0
 
Tuzunguzie soka, tuweke ushabiki kandi. Nafasi ya Yanga kusonga mbele kwa kushinda leo ni 25%, yaani wanategemea bahati tu.

Vv
 
baada ya mbumbumbu fc kutupwa matopeni kwao, leo ni zamu ya wachawi wenzao vyura fc kufurushwa warudi bwawani kwao!
 
Alafu Deus Kaseke unamuanzishaje wakati hajacheza muda mrefu unatafuta nini wewe Zahera.
.
Kisa huwa ana katabia kakukaba na kushambulia unadhani ni Ndanda hiyo unayocheza nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…