Philosophy ya leo ya Zesco ni tofauti wachezaji watatu walioanza mechi iliyopita wako bench.
.
Kuna mwamba nauchora Anthony Yakub nategemea maajabu, viungo watatu washambuliaji watatu.
Lengo la kwanza ni kushambulia Yanga leo wana kazi mbili kubwa kuzuia magoli na kuzuia wasipate red card hawana kazi ingine iliyo wapeleka