Oyaaa majomba mwera hao
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 290
- 424
MAREHEMU ALIKUWA NA MDOMO SANA
MAUTI MBELE MDOMO NYUMA
MAUTI MBELE MDOMO NYUMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona mkuu...hao platinum sio mchezo, bonge moja la comeback!Wamejipendekeza wakaenda HT wakiwa wanaongoza 2 ila FT imesoma 2-4
POLE SANA NDIO UKUBWA HUOKawaida tu Mtani. Kama mkia alishatepeteshwa nyuma kuna ajabu eti hapo?
Leo yamekuwa ayo mtani.Kheri kabisa Mtani.
Kama nawaona mlivyomwagika jasho kwa yanga kutoka. Nawaza tu ikiwa nyie ndio mnajiita mnaojua Soka Tanzania nzima mshatolewa mlitegemea kwa Yanga kiwe nini eti Mtani?
Yaani wao ndio wanakihoro na game yetu kuliko hata sisi wenyewe.
Ama kweli Yanga ni ya wote. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kbsa. WAMEPINDUA MEZA YA KARANGA HUKO ZAMBIA KWA ZESCOKila lakheri Yanga yetu. Ushindi ni wetu.
Hayawi hayawi hatimae yale matamko,majigambo na mbwembwe nyingi yametimia leo huko Zambia kwa Mabingwa wa kihistoria Yanga kupindua Meza kibabe kwa kubamizwa Goli 2-1 na Zesco ya zambia.Hongera sana wazee wa Vipensi.
,😹😹😹😹😹😹Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Nauza yanga mbovu na dola chakavu
Hahahahahaha meza ya KarangaEeeeh. WAMEPINDUA MEZA YA KARANGA HUKO ZAMBIA
Acha wapoze machungu,UD Songo wamekula 4 kwao na fc platinumIngekuwa wametolewa wao hapa wasingeonekana.
Waendelee na Ligi ya Matropeni huko. Teh teh teh.
Yah. Bado tupo tupo Mtani.Leo yamekuwa ayo mtani.
Bado kuna shirikisho lakini
Duuh!Acha wapoze machungu,UD Songo wamekula 4 kwao na fc platinum
Nilirudi sijakukuta Pacha.Pacha leo naomba ubaki hadi mwisho wa mechi,usikimbie tafadhali