NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
[emoji23][emoji23][emoji23] shikilia hapo hapo mkuuToka mwanzo wa mchezo nimeshika pumbu, KILA LA KHERI MNYAMA
Deportivo De Utopolo hili mnalo yaandepotivo de utelembwe
Hata huku kwenye mabanda umiza wameanza kuchochoraUtopolo kama wameanza kupungua vile kwenye huu uzi?
Ata mleta uzi nae kama kasepa kiaina ivi!!
Wanapaswa kubadili tempo ya mchezo kwa kucheza one touch badala ya two touches kabla ya kupiga pass.Mda wote wanacheza nyuma kwao wanakabiwa kwao hawawezi kutengeneza nafasi hata wakiwa na mpira
utelembwe lazima mlale na viatu leoDeportivo De Utopolo hili mnalo yaan
wangekuwa pacha na Fraga,hakuna mtu angekatizaTaddeo Lwanga bonge la kiungo anapiga midfield ya kinyama sana.
Sasa utashangiliaje?Toka mwanzo wa mchezo nimeshika pumbu, KILA LA KHERI MNYAMA