Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Kweli Vita hii ya kawaida sana, sio ile ya akina Makusu.
 
Pamoja na kuwa shabiki kinda ki ndaki wa msimbazi, as vita wanapiga mpira tusipokaa vizur tunawezwa lazwa
 
Chamaaaaaaaaaaaa.
Mwamba wa Lusaka anawainua mashabiki wa Simba.
 
Wachezaji wa ASV ni wajanja sana kutafuta foul, simba wasipokuwa makini watasababisha penat
 
Back
Top Bottom