Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mpaka hapa, Ikitokea tumetoa drop hii mechi Basi utakuwa ni uzembe wetu tu. Point 3 muhimu sana hizi. ☹️Simba wakaze waache ulegevu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka hapa, Ikitokea tumetoa drop hii mechi Basi utakuwa ni uzembe wetu tu. Point 3 muhimu sana hizi. ☹️Simba wakaze waache ulegevu
Achana na hao mkuu, Bwana Manara sijui watamtulizaje tu huko mitandaoni😂😂😂.Matokeo yakibaki hivi hao wachambuzi uchwara kama nawaona *****
Caf naona yao yoteMzee wa Canal +..naona jamaa hawaachi kitu hadi african champions league wanarusha
Goooooooooooooooooo.
Mk 14 anaiandikia Simba goli.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Goooooooooooooooooo.
Mk 14 anaiandikia Simba goli.
Tumeshawazoea kila timu mnayoimini,ikishindwa kuwapa mnachotaka au ikifungwa na Simba mnaichukulia easy, Kwahiyo zile kauli zenu za khamsa,mlikuwa mnaziongea mkiwa hamna vichwa au?😂😂.Nilivyomuona Tshishimbi tu kwenye first 11 nikajua Vita hawana team Tena
Unakera si ulale tu km una usingizi, upo kama kisichana.Goooooooooooooooooo.
Mk 14 anaiandikia Simba goli.
Hii inaitwa kwa kimombo shut up shop.Dakika ya 86 Kennedy Juma anachukua nafasi ya Clatous Chama