Klabu Bingwa Afrika: Simba SC wapewa Plateau United ya Nigeria

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC wapewa Plateau United ya Nigeria

Aisee, tutatoboa kweli? Kwa simba yetu hii! Ila taarifa ni official?
 
Sidhani kama itakuwa hivyo, mara nyingi mzunguko wa awali huwa naona zinapangwa timu zinazotokea ukanda mmoja. Mfano timu zilizo kusini mwa jangwa la Sahara au karibu yake zinamenyana zenyewe kwa zenyewe wakati zile za Magharibi na kaskazini mwa bara letu zikipepetana.

PAMOJA NA HAYO TUSUBIRI TUTAJUA MBIVU NA MBICHI MAANA KWA SIMBA HII IKIWA HIVYO NI CHANGAMOTO KUBWA KUVUKA INGAWA INAWEZEKANA.
 
Nakudodoshea hii

Simba Sc wamepewa Plateua United ya Nigeria. Club hii ambayo sio bingwa wa Nigeria; iliteuliwa kuwakilisha nchi kwa sababu ilikuwa inaongoza ligi kabla ya lockdown ya Corona.

Anayeijua zaidi atudondoshee
 

Attachments

  • 2020_11_09_18.03.59.png
    2020_11_09_18.03.59.png
    35.7 KB · Views: 1
Hawa hapa...Plateau United..
 

Attachments

  • A229855F-ED7D-41C8-A7EE-7C465EE398A6.jpeg
    A229855F-ED7D-41C8-A7EE-7C465EE398A6.jpeg
    110 KB · Views: 1
  • 6E90C98B-FFF8-443D-8D94-C09F1999FA7D.jpeg
    6E90C98B-FFF8-443D-8D94-C09F1999FA7D.jpeg
    50 KB · Views: 1
Aisee...

Mikia Kazi Wanayo....

Watani Wafanyie KAZI utulivu wa BEKI YAO...

Siwapendi...ila ni WAWAKILISHI wetu na WATANI ZETU mikia....

#Mikia Fanyieni Kazi Ukuta Wenu
 
Adjustments.jpg

Hawaa ni Wachumbaa tuuuu ingawa kuna Vipaji Vitatu walivitoa Wao.... lakini hawa tuki wa rank na Simba, Simba Iko juu mbali
 
Back
Top Bottom