Mimi nipende kuwa kumbusha Viongozi Wangu wa simba pamoja na benchi letu la ufundi.
Tusiwadharau wapinzani wetu hata kidogo. Kama tulivyofanya mwaka Jana kwa UD Songo wakatulaza na Viatu.
Njia nzuri ni kujipanga kikamilifu. Ugenini na nyumbani.
Mwaka Jana tulipo pata Droo kule Msumbiji tulibweteka tukadhani hapa Nyumbani ni kukamilisha ratibatu kumbe Mpira ni DK 90 za Nyumbani na Ugenini. Hapo ndipo uanze kusherekea baada ya Matokeo yote mawili.
Niwito WANGU kwa Viongozi kuwajenga wachezaji kisaikolojia na kuwakumbusha wajibu wao wawapo uwanjani na malengo tuliojiwekea kama Club.
Kikosi Mimi sina shaka nacho ni kizuri kama kita jitambua na kujua thamani ya mashindano haya na faida watakayoipata kama wachezaji kutengeneza soko Africa na ulaya.