Klabu Bingwa Afrika: Simba SC wapewa Plateau United ya Nigeria

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC wapewa Plateau United ya Nigeria

Na tunaanzia Nigeria tunawamalizia hukohuko.
😂😂

Mikia kwa kujiaminiiii....

Yaani bosi wenu MO aliwavimbisha VICHWA kunena kuwa MNATAKA KUFIKA SEMI FINAL...aliposema hayo MKACHABANGWA na UD SONGO hata QUARTER FINAL hamkulamba....
 
😂😂

Mikia kwa kujiaminiiii....

Yaani bosi wenu MO aliwavimbisha VICHWA kunena kuwa MNATAKA KUFIKA SEMI FINAL...aliposema hayo MKACHABANGWA na UD SONGO hata QUARTER FINAL hamkulamba....
So una amuaje sasa.

Au unatakaje sasa.
 
Kikubwa ni moyo na morali ya wachezaji wetu.

Kiuhalisia ligue ya Nigeria iko juu kuliko yetu lakini kwa vilabu Bora Africa Simba iko juu ya hii team!
 
Nendeni mkatolewe afu Wanaume tuende sasa rasmi kwa ajili ya kazi ya Wananchi
 
Wanigeria tunawamudu West Africa wana talents ila hawana ligi bora katika nchi zao.
 
Back
Top Bottom