Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamewahi kuifunga mara moja Enyimba lakini aggregate walitoka. Mechi nyingine zone ni vipigo au sare.Mikia raundi ya kwanza out
Nyie mtapigwa nalo sanaMtavua sana chupi kwa wageni round hii.
Hawakudharau ndiyo uwezo wao ulipoishia , mwaka huu kwa beki ile ya wazee ni kupigwa kote kama walivyofanya LiboloMikia msijipe moyo sana hawa wanaija wanatoka ligi yao ya nyumbani moja kwa moja wanacheza Ulaya...alafu mpira wao wa nguvu kitu ambacho mikia hamkiwezi
Wa Mchangani hamjambo?Nyie mtapigwa nalo sana
SIO Kama Gor MahiaHawakudharau ndiyo uwezo wao ulipoishia , mwaka huu kwa beki ile ya wazee ni kupigwa kote kama walivyofanya Libolo
Ukimaliza ramli zako nistueView attachment 1622972
Hawaa ni Wachumbaa tuuuu ingawa kuna Vipaji Vitatu walivitoa Wao.... lakini hawa tuki wa rank na Simba, Simba Iko juu mbali