OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nakudodoshea hii
Simba Sc wamepewa Plateua United ya Nigeria. Club hii ambayo sio bingwa wa Nigeria; iliteuliwa kuwakilisha nchi kwa sababu ilikuwa inaongoza ligi kabla ya lockdown ya Corona.
Anayeijua zaidi atudondoshee
nimepitia gugo taarifa zinasema Najeria hakukuwa na bingwa ila aliyeshika nafasi ya kwanza akateuliwa kuwakilisha nchiWalitwaa ubingwa baada ya Ligi yao kufutwa kufatia janga la COVID19
Taarifa sio official droo mpaka saa 5 usiku
Hata jkt ruvu au wale wazee wa pira gwaride waje tu 😆?Aje yeyote simba ni mnyama hatari sana ataliwa tuu
nimepitia gugo taarifa zinasema Najeria hakukuwa na bingwa ila aliyeshika nafasi ya kwanza akateuliwa kuwakilisha nchi
wachumba tu hawaHawa hapa...Plateau United..
Wenzetu kabisa hawa jezi zao tunazoHawa hapa...Plateau United..