Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
ππNa tunaanzia Nigeria tunawamalizia hukohuko.
ππ....Michezo 25 Mabao ya kufungwa 15...View attachment 1622972
Hawaa ni Wachumbaa tuuuu ingawa kuna Vipaji Vitatu walivitoa Wao.... lakini hawa tuki wa rank na Simba, Simba Iko juu mbali
ππPlateau 5:1 Simba
iwoba 2' Bocco 1
nathamel 1
oruba 1
joash onyango(own goal 1)
Wasisahau kuwabeba kabisaUtopolo mtatusaidia kuwapokea wagen wetu JNIA coz mnauzoefu huoππ
So una amuaje sasa.ππ
Mikia kwa kujiaminiiii....
Yaani bosi wenu MO aliwavimbisha VICHWA kunena kuwa MNATAKA KUFIKA SEMI FINAL...aliposema hayo MKACHABANGWA na UD SONGO hata QUARTER FINAL hamkulamba....
Lig ya Nigeria ipo juu kivip yaani! Hebu thibitisha hiloKikubwa ni moyo na morali ya wachezaji wetu.
Kiuhalisia ligue ya Nigeria iko juu kuliko yetu lakini kwa vilabu Bora Africa Simba iko juu ya hii team!
Hata libolo ilikuwa haifahamiki, ila simba walichezea koki.Kwa hizi Comment chache nimeelewa kuwa hii timu haifahamiki Bongo.
Hawa si wananchi kabisa chaliii????Hawa hapa...Plateau United..
Kaka twende tukashuhudie msiba wa simba.Wenzetu kabisa hawa jezi zao tunazo
AhahahahahahahahaPlateau 5:1 Simba
iwoba 2' Bocco 1
nathamel 1
oruba 1
joash onyango(own goal 1)
Inapendeza sana kuyasikia hayo kutoka kwa shabik wa utopolo ya Epl (aseno!!) + utopolo ya vpl (yanga!!)Nendeni mkatolewe afu Wanaume tuende sasa rasmi kwa ajili ya kazi ya Wananchi
Hata libolo ilikuwa haifahamiki, ila simba walichezea koki.