Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
πππsafari hii onyango hata kamata miguu atapiga kabali kabisa.
nyau atapigwa jumla ya goli 7
kwa beki zile nyau atapigwa mpaka achakaeπππ
Tulidhani Ni Sultan WAWA tu asiye na mbio...kumbe mpaka BABU WA KISUMU?!!!
Nimepata habari kuwa WINGA za hao wanaijeria zinakimbia zaidi ya TK master....
Hii si ya kukosa mkuuKaka twende tukashuhudie msiba wa simba.
Kwahiyo unatoa ujumbe gani kwa simba?ujue ndio obi mikel alipoanzia
Utopolo na Zimamoto ni lini?Mikia raundi ya kwanza out
Hawa niwakuzabulia hukohuko kwao.. huku Home tunarelax tuNa tunaanzia Nigeria tunawamalizia hukohuko.
Leta na yanga na zimamoto watatoaje?Plateau 5:1 Simba
iwoba 2' Bocco 1
nathamel 1
oruba 1
joash onyango(own goal 1)
Nyie wanaume mmepangwa na timu gani?Nendeni mkatolewe afu Wanaume tuende sasa rasmi kwa ajili ya kazi ya Wananchi
Na mtaolewa sana round hii...Nishaagiza.... tukutane taifaa
Rasmii sasa Plateau ni wananchiiView attachment 1622989
ππkwa beki zile nyau atapigwa mpaka achakae
wajiandae kisaikolojia plateau sio ruvu au mwaduiKwahiyo unatoa ujumbe gani kwa simba?
Mtavua sana chupi kwa wageni round hii.Kile kilichowakuta mnyero kwa deportivo de libolo ndicho kitakachowakuta kwa plateu,mnyero watabakwa nje ndani
Kabisa..Mimi nipende kuwa kumbusha Viongozi Wangu wa simba pamoja na benchi letu la ufundi.
Tusiwadharau wapinzani wetu hata kidogo. Kama tulivyofanya mwaka Jana kwa UD Songo wakatulaza na Viatu.
Njia nzuri ni kujipanga kikamilifu. Ugenini na nyumbani.
Mwaka Jana tulipo pata Droo kule Msumbiji tulibweteka tukadhani hapa Nyumbani ni kukamilisha ratibatu kumbe Mpira ni DK 90 za Nyumbani na Ugenini. Hapo ndipo uanze kusherekea baada ya Matokeo yote mawili.
Niwito WANGU kwa Viongozi kuwajenga wachezaji kisaikolojia na kuwakumbusha wajibu wao wawapo uwanjani na malengo tuliojiwekea kama Club.
Kikosi Mimi sina shaka nacho ni kizuri kama kita jitambua na kujua thamani ya mashindano haya na faida watakayoipata kama wachezaji kutengeneza soko Africa na ulaya.
Upo sahihi sana, Simba waliidharau UD Songo kwamba wepesi huku wakiacha mbinu zao za nyuma zinazowapaga ushindi uwanja wa kwa MkapaMimi nipende kuwa kumbusha Viongozi Wangu wa simba pamoja na benchi letu la ufundi.