Klabu Bingwa Afrika: Simba SC wapewa Plateau United ya Nigeria

Mikia msijipe moyo sana hawa wanaija wanatoka ligi yao ya nyumbani moja kwa moja wanacheza Ulaya...alafu mpira wao wa nguvu kitu ambacho mikia hamkiwezi
 
Hawakudharau ndiyo uwezo wao ulipoishia , mwaka huu kwa beki ile ya wazee ni kupigwa kote kama walivyofanya Libolo
 
SIO Kama Gor Mahia

GOR MAHIA 4-0 YANGA

YANGA 1-3 GOR MAHIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…