Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Hawa waarabu ni kuwachapa goal zaidi
 
Simba hatutakiwi kupoteza concentration hata sekunde...maana 75+ huwa ni dakika zao pia hawa jamaa, mara hupata pumzi upya.
 
Naomba kueleweshwa hii dakika moja ya kunywa maji ikoje na kwanini iwe hivyo??
 
Simba hatutakiwi kupoteza concentration hata sekunde...maana 75+ huwa ni dakika zao pia hawa jamaa,mara hupata pumzi upya.
Na hivi jua limeondoka uwanjani watakua na nguvu mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…