Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Simba hatutakiwi kupoteza concentration hata sekunde...maana 75+ huwa ni dakika zao pia hawa jamaa, mara hupata pumzi upya.
 
Naomba kueleweshwa hii dakika moja ya kunywa maji ikoje na kwanini iwe hivyo??
 
Back
Top Bottom