Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Jamani mnaonaje CAF wangetupa kombe kwanza tukae nalo halafu ndio tumalizie mechi zilizobaki?

Maana wote tunajua kwa utaratibu wa Simba aliouanzisha wa nje ndani sioni wa kumzuia Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…