Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Leo tutashuhudia total war inavyogeuzwa kuwa total failure,mbinu za kupulizia dawa chumba cha kuvalia jamaa wameingia na gas detector inanusa halia ya hewa,wamepulizia madawa chumba kizima kwa dk 15 ndipo wachezaji wameingia,ubalozi wa misri umeweka ulinzi wa hatari.Sasa ngoja goma lipigwe
Kidimbwi fc mna mkosi sana kila timu mnayoishabikia inatoa boko.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna soka lolote hapo
Uchawi tu
Tumefukiza leo Simba azidi nguvu
20210223_181756.jpg
 
Back
Top Bottom