Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Simba bado tunashindwa kumalizia nafasi tunazotengeneza mpaka najiuliza hivi ni nani aliyetuambia huyu mgalu ni top striker
Hakika kiongozi, kitu pekee kwake ni nguvu, hawezi kujiposition, striker hana awareness na offside za kawaida kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkeka hoi bin taabani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…