Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Al Ahly katika mechi zake tatu za mwisho
,kapoteza mbili dhidi ya Simba na Bayern Munich [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee Simba ni Moja ya Timu bora Africa kwa sasa
Simba SC inabezwa hapa na wachambuzi wenye vinasaba vya Utopolo

Lakini Simba hata timu za nje wakipangwa naye wanajua kabisa kazi wanayo.
 
Huko uliko una hali gani ?
 
Mashabiki tuzipe sapoti timu zetu.... Sio zikifungwa tunaona wachezaji wote hawana maana.... All in all hongera kwa Simba japo mambo bado ila kwa kuanzia sio mbaya Lily Tony hopefully kwako shangwe tu
😁😁😁 mkuu kwa upande wangu hali ni shwari ,ni vibe tu linaendelea sijui nikae au nisimame hata sielewi.
Kwa bahati mzee baba nae ni shabiki wa soka,yeye ananifanya nipende mpira zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…