Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Leo tutashuhudia total war inavyogeuzwa kuwa total failure,mbinu za kupulizia dawa chumba cha kuvalia jamaa wameingia na gas detector inanusa halia ya hewa,wamepulizia madawa chumba kizima kwa dk 15 ndipo wachezaji wameingia,ubalozi wa misri umeweka ulinzi wa hatari.Sasa ngoja goma lipigwe
Huko uliko una hali gani ?
 
Mashabiki tuzipe sapoti timu zetu.... Sio zikifungwa tunaona wachezaji wote hawana maana.... All in all hongera kwa Simba japo mambo bado ila kwa kuanzia sio mbaya Lily Tony hopefully kwako shangwe tu
😁😁😁 mkuu kwa upande wangu hali ni shwari ,ni vibe tu linaendelea sijui nikae au nisimame hata sielewi.
Kwa bahati mzee baba nae ni shabiki wa soka,yeye ananifanya nipende mpira zaidi
 
Back
Top Bottom