Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Sio ligi ya Bara hii, sikutegemea kukuona hapasimba leo ushindi wake ni faulo,kadi na off side hakuna cha ziada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ligi ya Bara hii, sikutegemea kukuona hapasimba leo ushindi wake ni faulo,kadi na off side hakuna cha ziada
Nimekuja kwa hisani ya waarabu mkuuSio ligi ya Bara hii, sikutegemea kukuona hapa
Andika hesgoal. Com mzeeNaomba link ya kuangalia mpira online.
Ni kipigo tu, mzoga wa paka umeonekana huko TangaHahhaha haya mkuu... Ngoja tuone itakuaje
Umepata link mzee
anapigwa nyau katangulia tuWoyooooo [emoji91][emoji91][emoji91]
Huyu mtu ni balaa na kilo 90, anajua hadi sio poa aiseeMikisonii
Wana Utopolo washaanza kusepa mmoja mmoja kwenye threads.Simba 1 Al utopolo 0