OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Amtoe Dilunga ampachike Morrison amiliki mpira.So far game iko fifty fifty..bado nina imani na mnyama! Hope kocha atakuja na game plan nzuri kipindi cha pili! Simba nguvu moja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amtoe Dilunga ampachike Morrison amiliki mpira.So far game iko fifty fifty..bado nina imani na mnyama! Hope kocha atakuja na game plan nzuri kipindi cha pili! Simba nguvu moja!
Wasuse kwa timu mbovu kama hiiso unawashauri al ahly wasuse?
Tuliza mshono.ndo umerudi utakimbia si muda
Nasikia huo uwanja jamaa wameupiga zindiko kali kweliHakuna wa kuifunga Simba kwa Mkapa,hata ziungane timu zote duniani
Umeanza kumlalamikia na refa huyu! 😂 😂 😂refa ndo kamficha huoni faulo za kipumbavu za babu ila refa anakauka
Kuna muda mwarabu anachezewa nusu uwanjakuna muda eti dakika 3 nzima muarabu hajagusa mpira
Bigwa namba 3 wa duniaHawa Al Ahly ukiwaangalia sana kiwango chao hawana tofauti na Polisi Dodoma
Kwa Mkapa hata Bayern hachomoki.Hakuna wa kuifunga Simba kwa Mkapa,hata ziungane timu zote duniani
Angalia isije pinduliwaSimba 1 Al utopolo 0
Wala silalamiki, angalia faulo ya jamaa kuweka kichwa Lwanga akampiga (refa kapeta) vipi ule mwangusho wa Bwalya hujauona refa alikuwa lilizo ama hujaonaUmeanza kumlalamikia na refa huyu! 😂 😂 😂
Kweli mazoea yana tabu
Bora wasuseYaa wasuse tu tujue moja
Ila mpira wa mwarabu unavutia kuliko wa vururu vururu wa nyau fckuna muda mwarabu anachezewa nusu uwanja
Miili mikubwa hamna kitu ndaniHawa Al Ahly ukiwaangalia sana kiwango chao hawana tofauti na Polisi Dodoma