Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Umeanza kumlalamikia na refa huyu! 😂 😂 😂
Kweli mazoea yana tabu
Wala silalamiki, angalia faulo ya jamaa kuweka kichwa Lwanga akampiga (refa kapeta) vipi ule mwangusho wa Bwalya hujauona refa alikuwa lilizo ama hujaona
 
Back
Top Bottom