Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Uto 'umeerewa'?
IMG_20210223_183444.jpg
 
Tuache utani Simba anasambaza mpira sana..

Tunaweza kupata pia matokeo misri tukiondoa hofu na kucheza mpira

Robo fainali here we come..
Mkuu Simba ya sasa, hata nje ushindi upooooo


Wachezaji wabadili ile iman yao yakijinga ya kutegemea kwa mkapa.


Kwa huyu Kocha aina ya wachezaji wetu , ushindi ni lazima


Hizi timu za nje, kuna wakati zitaanza kuomba angalau zipate Suluhu na Simba
 
Thubutuuuuu ,sasa kwa taarifa yako, kwa sasa moja ya Risk factor ya mtanzania kupata magonjwa ya Moyo, presha ,kisukari, Corona , na magonjwa yatokanyonayo na kushuka kwa kinga ya mwili ni pale mtu NAPOSHABIKIA YANGA.

Nawambia endeleen kushabikia Utopolo. Mtazeeka mapema



SHABIKIA SIMBA, UIMARISHE KINGA YA MWILI.
 
Back
Top Bottom