makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Hakuna zaidi ya MISIFA TU.Habari Jf,
Leo Simba wamewafunga AL AHLY SC ya Misri ushindi wa bao moja, Nikiwa kama shabiki wa club X nauliza leo wachezaji mmewalisha nini maana sio kwa Simba tunayoijua sisi.
View attachment 1710042
VISIT TANZANIA 🇹🇿