Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Tulieni mikia uchawi huwa hauvuki bahari mtaenda tu kwao waarabu msije kula mkono tena?
 
Hawa waarabu Wa kawaida sana. Ila Miqusoine ni zaidi ya mchezaji.

Natabiri baada ya michuano hii, ataenda mbele zaidi
Hugo mmakonde sio kwamba ni mchezaji mzuri

Ila kamekamia tu ili kumuonesha pitso kuwa alikosea kukatema
Kumbe alipatia kukatema kachezaji kanakobabatiza
 
inapendeza zaidi kuona mtoto kazaliwa,kakaa,katambaa na sasa anatembea, hayo ndo mafanikio ya ukuaji kwa soka la Simba.
sasa wale wengine wanadhani kuifunga Simba ndo kuchukua kombe la VPL badala wanatakiwa washinde kila mechi hapa ndo wanapofeli
😆😆😆
 
Back
Top Bottom