Ah
Ahsante sana lakini kumbuka ili Simba iwe Simba inaihitaji Yanga na kinyume chake, hivyo lazima upinzani uwepo ili hizi timu zifanye vizuri. Nashukuru leo ulikuwa mpira mzuri haya paka sijawaona uwanjani.Karibu Simba mkuu