Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Ah
Karibu Simba mkuu
Ahsante sana lakini kumbuka ili Simba iwe Simba inaihitaji Yanga na kinyume chake, hivyo lazima upinzani uwepo ili hizi timu zifanye vizuri. Nashukuru leo ulikuwa mpira mzuri haya paka sijawaona uwanjani.
 
Haki ya Mungu Simba itafika fainali.

Kama mbabe wa wababe Al Ahly kakubali kupapaswa na Simba,ni nani tena mwingine mbabe wa Africa kumshinda Al Ahly?
 
Tulieni mikia uchawi huwa hauvuki bahari mtaenda tu kwao waarabu msije kula mkono tena?
Nina ndoto, ipo siku mashabiki wote wa timu hizi pinzani watasaidiana, watapongezana ili kuhakikisha timu zao zinazifunga timu za kigeni kwa mechi za nyumbani na ugenini! Nasema ipo siku. Nimeishaumba tayari.
 
Pumbvu , naomba hela yangu nilibeti kama ulivyosema nimeliwa , mshenzih wewe nipe hela yangu
Pole,
Siku nyingine za kuambiwa changanya na zako.
Simba haijawahi kufungwa na hiyo timu ndani ya ardhi ya Tanzania iweje ujitoe ufahamu[emoji23]
 
Back
Top Bottom