Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Miquisone, Manula na Josh Onyango na timu yote(sio rahisi kutaja timu yote)Kipindi hiki cha kwaresma....Yaani Toba...Eeeh mwenyezi zisikilize kwanza toba zao...uwajaalie neema wao na familia zao kwanza kwa mambo waliyotufanyia sisi waTz na wana Simba ..!! Halafu ukishamaliza kusikiliza Toba na maombi yao ndo uje utusikilize sie...! Tupo radhi ee Baba hata neema na baraka ulizopanga utupatie sisi mashabiki waongezee hawa MASHUJAA...wachezaji wetu.Jambo walilofanya ni kubwa sana kwetu Watanzania..!
 
Miquisone, Manula na Josh Onyango na timu yote(sio rahisi kutaja timu yote)Kipindi hiki cha kwaresma....Yaani Toba...Eeeh mwenyezi zisikilize kwanza toba zao...uwajaalie neema wao na familia zao kwanza kwa mambo waliyotufanyia sisi waTz na wana Simba ..!! Halafu ukishamaliza kusikiliza Toba na maombi yao ndo uje utusikilize sie...! Tupo radhi ee Baba hata neema na baraka ulizopanga utupatie sisi mashabiki waongezee hawa MASHUJAA...wachezaji wetu.Jambo walilofanya ni kubwa sana kwetu Watanzania..!
Hii sara ni kwa niaba ya mambumbumbu na sio wananchi
 
hahaha aliye niloga ni anaye leta mapaka uwanjani

binadamu kamuuma mbwa basi anajitapa kweli

huna uwezo wa kuuchukua ubingwa labda kwa msaada wa hussein athuman na wenzio kina sasi
Sina Mengi juu ya mawazo Yako 👋👋


Nitarudi
 
Timu ya kawaida ipi?

Al ahly?
Al ahly iwe ya kawaida mngeshangilia hivi

Dunia inashangaa bingwa wa Afrika kucheza chini ya kiwango hadi kuruhusu paka kuchafua historia tukufu ya Afrika
 
al ahly iwe ya kawaida mngeshangilia hivi

Dunia inashangaa bingwa wa afrika kucheza chini ya kiwango hadi kuruhusu paka kuchafua historia tukufu ya afrika
Sisi hatushangilii ushindi as if ni kitu kigeni kwetu na wala ushindi wetu sio kwa ajili ya kuwakomoa Al ahly bali utopolo.

Tunashangilia kwasababu mamluki mlijipanga na matokeo yenu mkidhani Simba atafungwa

Hata Simba ni bingwa wa Afrika na kwenye top 20 ya mabingwa yupo.
 
Sisi hatushangilii ushindi as if ni kitu kigeni kwetu na wala ushindi wetu sio kwa ajili ya kuwakomoa al ahly bali utopolo.

Tunashangilia kwasababu mamluki mlijipanga na matokeo yenu mkidhani simba atafungwa

Hata simba ni bingwa wa africa na kwenye top 20 ya mabingwa yupo.
Suala la simba kufungwa hata ungemuuliza kocha gani duniani angekwambia anafungwa tu.

Kilichotokea ni maiti kuchana sanda kila mmoja anashangaa imekuwaje.

Bwalya yule wa moto leo anacheza kizembe vile hadi kuisikitisha dunia nzima
 
suala la simba kufungwa hata ungemuuliza kocha gani duniani angekwambia anafungwa tu.

kilicho tokea ni maiti kuchana sanda kila mmoja anashangaa imekuwaje.

bwalya yule wa moto leo anacheza kizembe vile hadi kuisikitisha dunia nzima
Ungeniuliza mimi ningekujibu kirahisi tu kuwa simba anashinda na ningekuwa sahihi kuliko huyo kocha. Baada ya hapo ungetamani huyo kocha nafasi yake ichukuliwe na mimi

Kuwa kocha haimaanishi kila unalolisema wewe ni sahihi, kutoa estimation kwa kutumia personal experience ni tatizo

Na tutazidi kuwa prove wrong hao makocha kila mechi ambayo tutayocheza

Maiti kuchana sanda, kwani al ahly ni mara ya kwanza kufa pale kwa mkapa?

Kama kwa kikosi kile alikufa inashindikana vipi kwa upana wa kikosi hiki kilicho sheheni international players kutopata ushindi?

We umeona madhaifu ya Bwalya tu?

Yule kibopa wa al ahly aliyepewa tuzo ya uchezaji bora na CAF alikua na msaada gani kwenye timu yake? Amefichwa na onyango mpaka nikaanza kupata wasiwasi tuzo yake ikanyang'anywa wampe miquson ambaye anastahili
 
Ungeniuliza mimi ningekujibu kirahisi tu kua simba anashinda na ningekua sahihi kuliko huyo kocha. Baada ya hapo ungetamani huyo kocha nafasi yake ichukuliwe na mimi....
Mkuu wachezaji haya maneno yanawatoka baada ya mechi, kabla ya mechi uzi huu ulikimbiwa hadi na waliouanzisha (nenda peji ya kwanza.) hata ww ulijificha ukijua huna lolote la maana mbele ya wababe wa Afrika.

Nenda hata betting company simba hakupewa nafasi ya kushinda hata droo haikutazamiwa yaani kifupi 95% tulikuwa tunasubiri goli 3 na kuendelea

Kilichotokea ni maiti kuchana sanda
 
mkuu wachezaji haya maneno yanawatoka baada ya mechi kabla ya mechi uzi huu ulikimbiwa hadi na walio uanzisha (nenda peji ya kwanza.) hata ww ulijificha ukijua huna lolote la maana mbele ya wababe wa afrika...
Unaniambia watu waliukimbia uzi niende page ya kwanza nikajionee wakati page ya kwanza comment ya tatu ni yangu?

Ungesoma hiyo comment yangu ya tatu kwenye uzi huu usingerudia kosa ambalo nilikua namkanya jamaa pale

Eti nenda betting compay

Hao wote si wanajihusisha na bahati na sibu mzee? Michezo ya kubahatisha?

Sasa utategemea kupata taarifa za uhakika kama chanzo chako unakitoa kwenye websites za bahati na sibu?
 
mkuu nipo leo binadamu kamuuma mbwa ni stori ya kutisha
huna cha kutisha hadi watu wakimbie timu ya kawaida sana
niteseke na nini mkuu sema napata hasira timu mbovu inapo jinasibu kupita maelezo

unakumbuka march 8 lakini
Mkuu Tuelewane
FB_IMG_1614114579716.jpg
 
Back
Top Bottom