Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Simba Cup mwakani waje Man City, Buyern Munich na Santos ya Huko South AmericaAfrica tumemaliza tunataka Man City sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba Cup mwakani waje Man City, Buyern Munich na Santos ya Huko South AmericaAfrica tumemaliza tunataka Man City sasa
Hahaha aliyeniroga ni anaye leta mapaka uwanjaniWe jamaa si bure aliyekuroga amekufa
Timu mbovu ipi al ahly au?niteseke na nini mkuu sema napata hasira timu mbovu inapo jinasibu kupita maelezo
unakumbuka march 8 lakini
Hahaha aliyeniloga ni anayeleta mapaka uwanjaniWe jamaa si bure aliyekuroga amekufa
Binadamu kamuuma mbwa basi anajitapa kweliTimu mbovu ipi al ahly au ?
Bakia tu kwenye historia huko Ubingwa wa ligi kuu ndo bye bye
Hii sara ni kwa niaba ya mambumbumbu na sio wananchiMiquisone, Manula na Josh Onyango na timu yote(sio rahisi kutaja timu yote)Kipindi hiki cha kwaresma....Yaani Toba...Eeeh mwenyezi zisikilize kwanza toba zao...uwajaalie neema wao na familia zao kwanza kwa mambo waliyotufanyia sisi waTz na wana Simba ..!! Halafu ukishamaliza kusikiliza Toba na maombi yao ndo uje utusikilize sie...! Tupo radhi ee Baba hata neema na baraka ulizopanga utupatie sisi mashabiki waongezee hawa MASHUJAA...wachezaji wetu.Jambo walilofanya ni kubwa sana kwetu Watanzania..!
Sina Mengi juu ya mawazo Yako 👋👋hahaha aliye niloga ni anaye leta mapaka uwanjani
binadamu kamuuma mbwa basi anajitapa kweli
huna uwezo wa kuuchukua ubingwa labda kwa msaada wa hussein athuman na wenzio kina sasi
Alisikika mlevi mmoja toka mitaa ya KariakooSimba Cup mwakani waje Man City,Buyern Munich na Santos ya Huko South America
powa tupoSina Mengi juu ya mawazo Yako 👋👋
Nitarudi
Timu ya kawaida ipi?huna cha kutisha hadi watu wakimbie timu ya kawaida sana
Al ahly iwe ya kawaida mngeshangilia hiviTimu ya kawaida ipi?
Al ahly?
Off course ndio nimekunywa, raha tupu.alisikika mlevi mmoja toka mitaa ya kariakoo
Sisi hatushangilii ushindi as if ni kitu kigeni kwetu na wala ushindi wetu sio kwa ajili ya kuwakomoa Al ahly bali utopolo.al ahly iwe ya kawaida mngeshangilia hivi
Dunia inashangaa bingwa wa afrika kucheza chini ya kiwango hadi kuruhusu paka kuchafua historia tukufu ya afrika
Suala la simba kufungwa hata ungemuuliza kocha gani duniani angekwambia anafungwa tu.Sisi hatushangilii ushindi as if ni kitu kigeni kwetu na wala ushindi wetu sio kwa ajili ya kuwakomoa al ahly bali utopolo.
Tunashangilia kwasababu mamluki mlijipanga na matokeo yenu mkidhani simba atafungwa
Hata simba ni bingwa wa africa na kwenye top 20 ya mabingwa yupo.
Ungeniuliza mimi ningekujibu kirahisi tu kuwa simba anashinda na ningekuwa sahihi kuliko huyo kocha. Baada ya hapo ungetamani huyo kocha nafasi yake ichukuliwe na mimisuala la simba kufungwa hata ungemuuliza kocha gani duniani angekwambia anafungwa tu.
kilicho tokea ni maiti kuchana sanda kila mmoja anashangaa imekuwaje.
bwalya yule wa moto leo anacheza kizembe vile hadi kuisikitisha dunia nzima
Mkuu wachezaji haya maneno yanawatoka baada ya mechi, kabla ya mechi uzi huu ulikimbiwa hadi na waliouanzisha (nenda peji ya kwanza.) hata ww ulijificha ukijua huna lolote la maana mbele ya wababe wa Afrika.Ungeniuliza mimi ningekujibu kirahisi tu kua simba anashinda na ningekua sahihi kuliko huyo kocha. Baada ya hapo ungetamani huyo kocha nafasi yake ichukuliwe na mimi....
Unaniambia watu waliukimbia uzi niende page ya kwanza nikajionee wakati page ya kwanza comment ya tatu ni yangu?mkuu wachezaji haya maneno yanawatoka baada ya mechi kabla ya mechi uzi huu ulikimbiwa hadi na walio uanzisha (nenda peji ya kwanza.) hata ww ulijificha ukijua huna lolote la maana mbele ya wababe wa afrika...
mkuu nipo leo binadamu kamuuma mbwa ni stori ya kutisha
huna cha kutisha hadi watu wakimbie timu ya kawaida sana
Mkuu Tuelewaneniteseke na nini mkuu sema napata hasira timu mbovu inapo jinasibu kupita maelezo
unakumbuka march 8 lakini
Inabidi waziri wa Mambo ya nje aende ujerumani apange mipango ya Bayern munich kuja kucheza na Simba ili tupate majibu kamili. Pia tuone Simba atafanyaje akifika Misri kucheza na Al ahly.Mkuu Tuelewane View attachment 1710379