duu nipo na imagine hii paskali ikivaa kimini sket inakuwaje [emoji16][emoji16][emoji16]
😁😁😁Inakua dope[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ni zamu ya kiungo wa Kizambia, Rally Bwalya nae alikuja kwa mbwembwe nyingi ila ameishia kuwa flop. Hajakidhi yale matarajio makubwa ya wapenda kandanda! Klabu ya Simba ifike wakati wabadilike, badala ya kusajili magarasa ya kigeni kwa bei nyingi ni heri wawape nafasi wazawa tu!
Kila la kheri Simba wakilisha bendera ya Tanzania wajue kwamba huku tz kuna timu nyingi ngangari na zenye uwezo ili mwakani tuingize timu nne!!Nlikuwa naongea na wenzangu kwenye Group wanasema wanaombea sana Simba afungwe huko Sudan. Nlisema ni jambo jema ikiwa hizo points tutakuja pewa sisi. Otherwise hatupaswi kuwa wapumbavu kiasi hiki.
Simba wana points 6 wakifungwa Ugenini bado wana nafasi ya mechi mbili hapa taifa. Na Al Merreikh na pia AS Vita. So bado hakuna ambacho kitatupa sana ahueni. Nadhani tuachane na roho za kichawi. Tuwa support wenzetu. Wivu,Chuki na Hasira havitusaidii.
Tungeachana na Simba turudi kwenye team yetu. Tuka isupport na kuitia moyo bado tuna matches nyingi za ligi. Ila tunapoteza muda mwingi ku deal na Simba na kuisahau team yetu. Why? Tuijenge team kwa maoni positive na kukosoa.
Manula nje leoMwenye line up pls aweke hapa.
Watopolo wote wangekuwa na akili kama wewe Yanga ingekuwa timu bora kabisaNlikuwa naongea na wenzangu kwenye Group wanasema wanaombea sana Simba afungwe huko Sudan. Nlisema ni jambo jema ikiwa hizo points tutakuja pewa sisi. Otherwise hatupaswi kuwa wapumbavu kiasi hiki.
Simba wana points 6 wakifungwa Ugenini bado wana nafasi ya mechi mbili hapa taifa. Na Al Merreikh na pia AS Vita. So bado hakuna ambacho kitatupa sana ahueni. Nadhani tuachane na roho za kichawi. Tuwa support wenzetu. Wivu,Chuki na Hasira havitusaidii.
Tungeachana na Simba turudi kwenye team yetu. Tuka isupport na kuitia moyo bado tuna matches nyingi za ligi. Ila tunapoteza muda mwingi ku deal na Simba na kuisahau team yetu. Why? Tuijenge team kwa maoni positive na kukosoa.
Huo mkojo wenyewe unao? au unataka kukojoa damu?Usiku wa deni haukawii kukucha...
Mkundu wako ! Soma matokeoUsiku wa deni haukawii kukucha.
El Merreikh Vs Simba
Leo ndio kipimo cha kwanza kigumu, simba leo atafungwa 2-0 na hatopata goli hata la offside.
Simba akipata goli ntakojoa kuanzia hapa Ununio mpaka Chamwino Dodoma.
Leo ndio ile siku ukuta wa simba utaabishwa kama alivyosema mchambuzi nguli wa michezo Jeff Lea
El Merreikh tunawategemea sana
Yanga toka lini anaiobea Simba ushindi.Mkomayena litimu lemu na kocha wenuKila la kheri Simba wakilisha bendera ya Tanzania wajue kwamba huku tz kuna timu nyingi ngangari na zenye uwezo ili mwakani tuingize timu nne!!
Wakilisheni vizuri nchi yetu ya Tanzania!!
Mimi ni mzalendo mzuri wa nchi yangu lakini siyo shabiki wa Simba wala wa Yanga, ila timu ikitoka nje kwenda kwenye michuano mbalimbali ya kimataifa ninakuwa pamoja nao, hongereni na endeleeni kupeperusha bendera ya tz hasa hasa kipindi hiki kigumu cha gonjwa hili la hatari la CORONA!!
MUNGU awe pamoja nanyi katika dakika 90 !!
Nawakilisha!!
Naona umepakatwa na waarabu kokoUsiku wa deni haukawii kukucha.