Klabu bingwa Afrika: Simba ugenini kuchuana na Al Merrekh

Sina ushabiki na simba ila nasimamia ndoto yangu. Mje mtumie kama reference plz😄
El merreikh 0
Simba 1
 
Wale wenye Dstv mnaweza mkaona mechi hii kupitia Channel no. 270 KBC1
IMG_7378.jpg
 
Huyu Renzo Barbera ndiye aliyeweka uzi ule akidai eti Rally Bwalya ni galasa. Leo anataka kukojoa mfululizo kutoka Ununio, wakati nyuzi zake zinamprove wrong kila wakati

Sasa ni zamu ya kiungo wa Kizambia, Rally Bwalya nae alikuja kwa mbwembwe nyingi ila ameishia kuwa flop. Hajakidhi yale matarajio makubwa ya wapenda kandanda! Klabu ya Simba ifike wakati wabadilike, badala ya kusajili magarasa ya kigeni kwa bei nyingi ni heri wawape nafasi wazawa tu!
 
Nlikuwa naongea na wenzangu kwenye Group wanasema wanaombea sana Simba afungwe huko Sudan. Nlisema ni jambo jema ikiwa hizo points tutakuja pewa sisi. Otherwise hatupaswi kuwa wapumbavu kiasi hiki.

Simba wana points 6 wakifungwa Ugenini bado wana nafasi ya mechi mbili hapa taifa. Na Al Merreikh na pia AS Vita. So bado hakuna ambacho kitatupa sana ahueni. Nadhani tuachane na roho za kichawi. Tuwa support wenzetu. Wivu,Chuki na Hasira havitusaidii.

Tungeachana na Simba turudi kwenye team yetu. Tuka isupport na kuitia moyo bado tuna matches nyingi za ligi. Ila tunapoteza muda mwingi ku deal na Simba na kuisahau team yetu. Why? Tuijenge team kwa maoni positive na kukosoa.
Kila la kheri Simba wakilisha bendera ya Tanzania wajue kwamba huku tz kuna timu nyingi ngangari na zenye uwezo ili mwakani tuingize timu nne!!

Wakilisheni vizuri nchi yetu ya Tanzania!!
Mimi ni mzalendo mzuri wa nchi yangu lakini siyo shabiki wa Simba wala wa Yanga, ila timu ikitoka nje kwenda kwenye michuano mbalimbali ya kimataifa ninakuwa pamoja nao, hongereni na endeleeni kupeperusha bendera ya tz hasa hasa kipindi hiki kigumu cha gonjwa hili la hatari la CORONA!!

MUNGU awe pamoja nanyi katika dakika 90 !!
Nawakilisha!!
 
Watopolo wote wangekuwa na akili kama wewe Yanga ingekuwa timu bora kabisa
 
Usiku wa deni haukawii kukucha.

El Merreikh Vs Simba
Leo ndio kipimo cha kwanza kigumu, simba leo atafungwa 2-0 na hatopata goli hata la offside.

Simba akipata goli ntakojoa kuanzia hapa Ununio mpaka Chamwino Dodoma.

Leo ndio ile siku ukuta wa simba utaabishwa kama alivyosema mchambuzi nguli wa michezo Jeff Lea

El Merreikh tunawategemea sana
Mkundu wako ! Soma matokeo
 
Kila la kheri Simba wakilisha bendera ya Tanzania wajue kwamba huku tz kuna timu nyingi ngangari na zenye uwezo ili mwakani tuingize timu nne!!

Wakilisheni vizuri nchi yetu ya Tanzania!!
Mimi ni mzalendo mzuri wa nchi yangu lakini siyo shabiki wa Simba wala wa Yanga, ila timu ikitoka nje kwenda kwenye michuano mbalimbali ya kimataifa ninakuwa pamoja nao, hongereni na endeleeni kupeperusha bendera ya tz hasa hasa kipindi hiki kigumu cha gonjwa hili la hatari la CORONA!!

MUNGU awe pamoja nanyi katika dakika 90 !!
Nawakilisha!!
Yanga toka lini anaiobea Simba ushindi.Mkomayena litimu lemu na kocha wenu
 
Renzo si riziki!! Hawezi kusogea hapa! Hata utopolo wenzake hawawezi kumuunga mkono nyuzi zake!!
 
hingera nyingi kwa simba kwa kukomaa.
hakika mmmejitahidi sana.
 
Usiku wa deni haukawii kukucha.

El Merreikh Vs Simba
Leo ndio kipimo cha kwanza kigumu, simba leo atafungwa 2-0 na hatopata goli hata la offside.

Simba akipata goli ntakojoa kuanzia hapa Ununio mpaka Chamwino Dodoma.

Leo ndio ile siku ukuta wa simba utaabishwa kama alivyosema mchambuzi nguli wa michezo Jeff Lea

El Merreikh tunawategemea sana
Naona umepakatwa na waarabu koko
 
Back
Top Bottom