squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Huyo aondoke tu, anacheza mechi moja vizuri tena dhidi ya timu ndogo kisha anapotea mechi kumi.Ozil fund atakaeje nje ndo swal najiuluza but sipat jibu
Na test mitambo
Haha pamoja na kumtafuna mtu 3-0, bado unapata ujasiri wa kutuita mikia?Yaishe vipi jamaani. Hahahaaa.
Vp lakini na wewe uko Mikia nini?
Mkakati ni kushinda nyumbani mechi zote, tukienda kwao kudroo au kushinda poa. Ila hapa bongo ni kuwachapa tu.SAA NNE ZBC 2 Al Ahly vs Vita...Al Ahly anashinda..wiki ijayo mkienda Kinshasa mkachezeshwe ndombolo ya solo
ππππ lol. Ntakulipa jumanne hii. πππ
Kumbe arsenal/simba tupo wengi.arsenal wamenifanya niwe na furaha 70% tu leoSi unaniona ninavyoyavumilia machungu ya Arsenal. [emoji87][emoji87][emoji87]
Leo mchana niliota Simba inashinda goli 3. Kisha Al Ahly anasuluhu 1:1 na Vita.SAA NNE ZBC 2 Al Ahly vs Vita...Al Ahly anashinda..wiki ijayo mkienda Kinshasa mkachezeshwe ndombolo ya solo
anastahili sanaSimba huwa wanatumia kimasomaso kimataifa.
Wanafanya vyema sana.
Hongera Haji Manara, toto la Kariakoo.
Hahaaaaaah tabu ipo palepale3 - 0 πππππ
Kumbe arsenal/simba tupo wengi.arsenal wamenifanya niwe na furaha 70% tu leo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Kumbe arsenal/simba tupo wengi.arsenal wamenifanya niwe na furaha 70% tu leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa. Linabakia ndio.Haha pamoja na kumtafuna mtu 3-0, bado unapata ujasiri wa kutuita mikia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikia uchokozi ndio huu sasa. πππ
Kwann mkuu?Ukisikia uchokozi ndio huu sasa. [emoji2][emoji2][emoji2]
Jina halibadiriki mkuu......MIKIA NI MIKIA TUHaha pamoja na kumtafuna mtu 3-0, bado unapata ujasiri wa kutuita mikia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia dawa ikuingie....soma iyooooooSAA NNE ZBC 2 Al Ahly vs Vita...Al Ahly anashinda..wiki ijayo mkienda Kinshasa mkachezeshwe ndombolo ya solo
Tulia dawa iingie vizuri....soma iyoooooJina halibadiriki mkuu......MIKIA NI MIKIA TU
Na test mitambo