Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Naona Goal.com wanatumika na MABEBERU[emoji23]
IMG_20190112_184525.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAA NNE ZBC 2 Al Ahly vs Vita...Al Ahly anashinda..wiki ijayo mkienda Kinshasa mkachezeshwe ndombolo ya solo
Leo mchana niliota Simba inashinda goli 3. Kisha Al Ahly anasuluhu 1:1 na Vita.
 
Back
Top Bottom