Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

Yanga walicheza counter attack moja nzuri sana,ila wamemalizia na shuti dhaifu...
Aaaaahhhhh

Usijali baby wangu Nifah, mechi haijaisha hii. Matokeo ya 1-1 sio mabaya, mkijipanga mkapata goli la mapema kule mtakuwa kwenye mchezo, nao mtawapa presha.
Mngefungwa ndio ingekuwa mbaya, ila 1-1, mechi bado mbichi hii kama half time tu, tunangoja kipindi cha pili tukiwashe.

Ova
 
Mbona Hapo Ndio Mwisho Wao, Hawajitambui Kuwa Wao Ni Wa East Africa Zone Tu, Sio Wakimataifa Kama Wanavyojinasibu Na Kudanganywa Na Mpiga Debe Wao Jerry Murro!!! Wasubirie Sasa Kichapo Huko Misri!!

Hata East African zone bado ni.wa kimataifa
 
Hivi kabla ya kukutana na Yanga kumbe wameitoa Libolo ya Angola.
Safari hii kitaeleweka huko kwao.
 
Safi sana.Kuitwa wakimataifa ni kushindana na kushinda na si porojo za Muro.
 
Safi sana watani mkifika misri ndio mtajua utamu wenyewe
 
Ndio muache kubwebwa! Mpira unahitaji timu bora na si timu mbeleko kama Yanga.Ligi yetu waamzi wanawabeba lakini kila siku kudhalilisha Nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…