FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Hahahhaha chizi haponagi my dia tehe teheKama namuona vileeeee ndi ndi ndi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaha chizi haponagi my dia tehe teheKama namuona vileeeee ndi ndi ndi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yanga walicheza counter attack moja nzuri sana,ila wamemalizia na shuti dhaifu...
Aaaaahhhhh
Kabisaaa haponi atakuwa alikimbia dozi mirembe maana si kwa kuropoka kuleHahahhaha chizi haponagi my dia tehe tehe
Yanga anaweza kupigwa hata TANO ugeniniHata Angola walitumia mbinu hii. Wana draw ugenini na kushinda nyumbani!
Ngebe Kibao, Yanga Mpira Wenu Ni East Africa Zone Only!! Sio Wakimataifa Kama Mnavyojinasibu Na Kudanganywa Na Jerry Murro!!!!
Mbona Hapo Ndio Mwisho Wao, Hawajitambui Kuwa Wao Ni Wa East Africa Zone Tu, Sio Wakimataifa Kama Wanavyojinasibu Na Kudanganywa Na Mpiga Debe Wao Jerry Murro!!! Wasubirie Sasa Kichapo Huko Misri!!
Walisahau hilo....nmefurahi ndala kuruhusu goli la ugenini kwa waraabu...safari yao imeishia hapo
Yanga anaweza kupigwa hata TANO ugenini
Hahahaha na ngoma wao anakimbia anaacha mpira nyuma...ni ndugu zangu siwachukii ila bado sanaKabisaaa haponi atakuwa alikimbia dozi mirembe maana si kwa kuropoka kule
Wamchangani acheni roho mbaya,
Mkuu hawa jamaa si ndio waliwatembezea kichapo wazee wa mchangani? (FC Libolo)Hivi kabla ya kukutana na Yanga kumbe wameitoa Libolo ya Angola.
Safari hii kitaeleweka huko kwao.