Subiri kibano kikoleeMabadiliko yaliyofanywa ya kumuingiza Msuva yameleta amsha amsha tena. Huyu jamaa yuko vizuri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri kibano kikoleeMabadiliko yaliyofanywa ya kumuingiza Msuva yameleta amsha amsha tena. Huyu jamaa yuko vizuri sana.
Sijui.....Subiri kibano kikolee
Ahsante Nifa. Afadhali wafungwe waje tuwalishe viporo ...wali jaa,mchuzi ju..Mabadiliko yaliyofanywa ya kumuingiza Msuva yameleta amsha amsha tena.
Huyu jamaa yuko vizuri sana.
Wafungwe tu maana yule msemaji wao anakuwaga Kama amekula mlendaKweli mkuu, hawa jamaa wapigwe tu!! Wasipopigwa maneno yao yatakuwa na ukakasi kidogo!!!!!!!
Mbi mbwaneweAhsante Nifa. Afadhali wafungwe waje tuwalishe viporo ...wali jaa,mchuzi ju..
Nani afungwe mkuu?Ahsante Nifa. Afadhali wafungwe waje tuwalishe viporo ...wali jaa,mchuzi ju..
Nzinza mpolaMbi mbwanewe
Ndo sifa ya mastriker wa dar poleeYanga walicheza counter attack moja nzuri sana,ila wamemalizia na shuti dhaifu...
Aaaaahhhhh
Ana mashauzi kama bit la amarulahWafungwe tu maana yule msemaji wao anakuwaga Kama amekula mlenda
Kama vile nakuonea huruma mpendwaYanga walicheza counter attack moja nzuri sana,ila wamemalizia na shuti dhaifu...
Aaaaahhhhh
Kyalosangi napakumbuka wakati nasoma Kinampanda!!!Nzinza mpola
Kyalosangi napakumbuka wakati nasoma Kinampanda!!!
Mkuu umenichekesha Sana.Leo sijui atatoa kisingizio ganiAna mashauzi kama bit la amarulah
Leo naona utalala vibaya kwani Asernal wamedroo na sasa Yanga ndiyo hivyo tena.Anda dawa za kutuliza maumivu mapema kwani usiku ukiingia itakuwa vigumu kizipata.Nani afungwe mkuu?
😕