Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

Nikweli mkuu.... lakini tunatakiwa kubadilika kifikra japo mambo ya ushabiki nayo....ni shidaaa
Shida nani aanze.Maana leo Simba wamezomea,ikitokea Simba nao wakicheza match za kimataifa basi Yanga nao watazomea...itaenda hivyo sijui hadi itokee nini.Leo Yanga wanajiita wa kimataifa na Simba wanaitwa wa mchangani,unategemea itatokea tofauti hapo
 
Waarabu hawataki kufungwa suluhu kwao dili hii kasi wanayocheza hapa wakienda kwao wanacheza Mara mbili yake sasa hawa wanaojiita wa kimataifa ndo wananyooshwa.
Nasubiri goli mbili zilizobaki then mazishi Misri
 
duuh
 
Kwakweli nina homa kali sana ya huu mchezo wetu dhidi ya hao waarabu,ngoja nilale kwanza....
Huenda nikiamka nitakuwa sawa.
Kila la kheri Yanga
Ukiamka nitakupa matokeo ya faraja
 
Ningeshangaa sana kama ungeniombea ushindi,hata hii sare naona umejitutumua tu kuogopa usinuniwe!
Asante bae,bora hiyo sare kuliko tufungwe kabisa.

Ha ha ha ha haaa! Kwa historia yako na Waarabu hata hiyo sare inakuwa kama kukuombea ushindi mpenzi wangu. Mechi nzito sana hii kwenu.

Ova
 
Kwakweli nina homa kali sana ya huu mchezo wetu dhidi ya hao waarabu,ngoja nilale kwanza....
Huenda nikiamka nitakuwa sawa.
Kila la kheri Yanga
Tehe! Tehe! Tehe!! Ukipelekwa Hospital, Ukipimwa Pressure Lazima Ulazwe Tu!!! Pole Saana Mdau, Hicho Ndio Kipimo Cha Kujiita Wakimataifa, So Punguza Pressure!!!
 
kule ujerumani...
VFB STUTTGART 0- 1 BAYERN mpira unaendelea beki kajifunga dk 31' game iko dk ya 34 now
 
...wakimataifa wanakula matobo tu,wanashindwa hata kuvuka nusu yao ya uwanja!!
 
Back
Top Bottom