Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Wewe jamaa kiherehere sana,nani kakuuliza sasa?Leicester City Bingwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Arsenal Kama simba tu vile
Watu tumeshaanza kusahau wewe unakumbushia.
😡😡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa kiherehere sana,nani kakuuliza sasa?Leicester City Bingwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Arsenal Kama simba tu vile
Nani kafungwaDaaaaah bonge la chance hili kwa Yanga.
Aaaaaah Kamusoko katuangusha.
Mkuu mazishi tutayafanya misri baada ya wiki mojahakuna msiba mkuu..
kumbuka wanacheza na wakimataifa wenzao, hawachezi na mikia ya mchangani
Kweli mkuu, hawa jamaa wapigwe tu!! Wasipopigwa maneno yao yatakuwa na ukakasi kidogo!!!!!!!!
!
Wapigwe tu hakuna namna nyingine.
!
!
Wapigwe tu hakuna namna nyingine.
🙁🙁🙁Kweli mkuu, hawa jamaa wapigwe tu!! Wasipopigwa maneno yao yatakuwa na ukakasi kidogo!!!!!!!
Kweli mkuu, hawa jamaa wapigwe tu!! Wasipopigwa maneno yao yatakuwa na ukakasi kidogo!!!!!!!
1-1 mkuuNani kaf
Nani kafungwa
Nakuhurumia sana nahisi wakikupima presha watakushangaa sana bado unaangalia mechi wakati inapaswa uwe umelazwa.Uwiiiiiiiiiii ile nafasi aliyokosa Donald Ngoma hatuipati tena.
Nilishasimama kushangilia.
Nenda mwana kwenda.....Nimehama Yanga nahamia Azam
Vyura FC ndiyo mwisho wenu...Yanga walicheza counter attack moja nzuri sana,ila wamemalizia na shuti dhaifu...
Aaaaahhhhh
Hahahahaaaa nipo na dokta hapa mkuu.Nakuhurumia sana nahisi wakikupima presha watakushangaa sana bado unaangalia mechi wakati inapaswa uwe umelazwa.