Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,592
Shida nani aanze.Maana leo Simba wamezomea,ikitokea Simba nao wakicheza match za kimataifa basi Yanga nao watazomea...itaenda hivyo sijui hadi itokee nini.Leo Yanga wanajiita wa kimataifa na Simba wanaitwa wa mchangani,unategemea itatokea tofauti hapoNikweli mkuu.... lakini tunatakiwa kubadilika kifikra japo mambo ya ushabiki nayo....ni shidaaa
kakusamehe.... uzuri wake muelewa..!
amani itawale, one love...!Kweli tena ni muelewa sana, hicho ndo nampendea. Kanisamehe bwana kiroho safi.
Ova
Waarabu hawataki kufungwa suluhu kwao dili hii kasi wanayocheza hapa wakienda kwao wanacheza Mara mbili yake sasa hawa wanaojiita wa kimataifa ndo wananyooshwa.
Nasubiri goli mbili zilizobaki then mazishi Misri
Ukiamka nitakupa matokeo ya farajaKwakweli nina homa kali sana ya huu mchezo wetu dhidi ya hao waarabu,ngoja nilale kwanza....
Huenda nikiamka nitakuwa sawa.
Kila la kheri Yanga
Wamoja tena nyie ndala si mnajiita wakimataifa halafu sisi mnatuita wa mchangani tutakuwaje wamoja hapomkuuu punguza ukali wa maneno... sisi ni wamoja..!
Ningeshangaa sana kama ungeniombea ushindi,hata hii sare naona umejitutumua tu kuogopa usinuniwe!
Asante bae,bora hiyo sare kuliko tufungwe kabisa.
Tehe! Tehe! Tehe!! Ukipelekwa Hospital, Ukipimwa Pressure Lazima Ulazwe Tu!!! Pole Saana Mdau, Hicho Ndio Kipimo Cha Kujiita Wakimataifa, So Punguza Pressure!!!Kwakweli nina homa kali sana ya huu mchezo wetu dhidi ya hao waarabu,ngoja nilale kwanza....
Huenda nikiamka nitakuwa sawa.
Kila la kheri Yanga
Mkuu karibu tuko msibaniduuh
kumbuka wanacheza na wakimataifa wenzao, hawachezi na mikia ya mchangani!
!
Hao wa kimataifa ni hovyo kweli, wafungwe tu hakuna jinsi.
Mkuu karibu tuko msibani
usijali ninasema kwa niaba yako pia