Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

Daaaaah bonge la chance hili kwa Yanga.
Aaaaaah Kamusoko katuangusha.
 
Uwiiiiiiiiiii ile nafasi aliyokosa Donald Ngoma hatuipati tena.
Nilishasimama kushangilia.
 
...hee! kumbe Tambwe alikuwepo?!
 
Simon Msuva In
Hamiss Tambwe Out
 
Mabadiliko yaliyofanywa ya kumuingiza Msuva yameleta amsha amsha tena.
Huyu jamaa yuko vizuri sana.
 
Ukitaka kujua Waarabu walivyo noma, basi Yanga wajitusu kuwapiga bao la pili, watachezewa mpira hadi wajute kuwafunga.
Wenyewe huwa wanafuata sare ya mabao tu ugenini, halafu shughuli yote wanaenda imaliza kwao.
Hawa Waarabu kiboko yao ni Simba tu, ndio maana huko wanaijua Simba tu kama ndio timu kongwe Bongo.

Ova
 
Uwiiiiiiiiiii ile nafasi aliyokosa Donald Ngoma hatuipati tena.
Nilishasimama kushangilia.
Nakuhurumia sana nahisi wakikupima presha watakushangaa sana bado unaangalia mechi wakati inapaswa uwe umelazwa.
 
Yanga walicheza counter attack moja nzuri sana,ila wamemalizia na shuti dhaifu...
Aaaaahhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…