Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 378
- 510
Dah hapo sasa engineer ana sikitika mnooooHivi karibuni timu zetu kubwa hapa nchini zimeingia mikataba mipya na wadhamini wao
Simba sc na MBET
Yanga sc na SPORTPESA
hapa katikati kuliibuka fununu za simba kuachana na Sportpesa okabaki yanga na yanga alipo saini mkataba mpya watu walisema ni mkataba mnono saana wa billion 12 kwa miaka 3
Sasa leo simba imeweka wazi kwamba mkataba wao na MBET Ni wa billion 26.1 kwa miaka 5 sasa kwa Wale watalamu wa mikataba upi mzuri na klabu gani itafaidika kwa aina ya mkataba walio ingia
Hii imetokea Tanzania pekee yake. Thamani ya Timu kwa kulingana na mmiliki wa milele wa timu ni Tshs 20 Bilioni na Mdhamini anatoa Tsh 25.1 kwa miaka mitano. Sidhani hii kama ni kweli.
Mmekuwa wapole Sana Leo km mmemwagiwa maji[emoji28]WELL KILA TIMU IMELAMBA DUME KIMPANGO WAKE KUTOKANA NA MASHARTI YA MKATABA WALIYOWEKEANA
Kabla ya hapo simba ilikjwa na thamani hiyo ya kupewa bilioni 5 kwa mwaka!? Si walikuwa simba na yanga wanapokea milioni mia 9 kwa mwaka.Hii imetokea Tanzania pekee yake. Thamani ya Timu kwa kulingana na mmiliki wa milele wa timu ni Tshs 20 Bilioni na Mdhamini anatoa Tsh 25.1 kwa miaka mitano. Sidhani hii kama ni kweli.
sawaMmekuwa wapole Sana Leo km mmemwagiwa maji[emoji28]
Juzi mlitamba Sana na kututukana wanasimba..usimcheke asiyejenga kisa umejenga nyumba Kali,msubiri Kwanza ajenge ndy umcheke.Ndy kinachowakuta Leo uto
Akili za MAKOLO/MBUMBUMBU bhana, kwahiyo unadhani hiyo 5.2 B itabaki kuwa na thamani hiyo hiyo kwa fedha hata baada ya miaka mitatu au minne mbele/2025/2026 [emoji848][emoji28]Bil. 12/3 = bil 4 Kwa mwaka
Bil 26/5 = bil 5.2 Kwa mwaka
Labda tusome vizuri vigezo na masharti .kabla ya kuongeza manenoo
YANGA BRAND KUBWA, HAIWEZI KUKOSA MDHAMINIMiaka mitatu ya kwanza Simba itapata takribani 15B wakati kwa miaka hiyo Yanga itapata 12B. Baada ya hapo hakuna uhakika kama Yanga itapata mdhamini mwingine, maana business environment zinabadilika siku hata siku.
Na bado zile B 20 zilihama toka mfuko wa kushoto kuwekwa mfuko wa kulia wa Mtu, bila ushahidi thabiti wowote, ama kweli Bongo kuna Mawatu hayajielewi [emoji23]Hii imetokea Tanzania pekee yake. Thamani ya Timu kwa kulingana na mmiliki wa milele wa timu ni Tshs 20 Bilioni na Mdhamini anatoa Tsh 25.1 kwa miaka mitano. Sidhani hii kama ni kweli.
Rudia kuangalia vipengele vya mkataba kwa miaka mitatu ya kwanza halafu ndio ufananishe kwa kila timu.Bil. 12/3 = bil 4 Kwa mwaka
Bil 26/5 = bil 5.2 Kwa mwaka
Labda tusome vizuri vigezo na masharti .kabla ya kuongeza manenoo
Na wewe unaamini kabisa kampuni kama hii inaweza kutoa hizo hela?Bil. 12/3 = bil 4 Kwa mwaka
Bil 26/5 = bil 5.2 Kwa mwaka
Labda tusome vizuri vigezo na masharti .kabla ya kuongeza manenoo
Kwahiyo sports pesa ndio anauwezo pekeake kutoa hiyo b4 nne..Na wewe unaamini kabisa kampuni kama hii inaweza kutoa hizo hela?View attachment 2311179
Uneongea ukweli saana mkuu. Na hata hawa azam tv walianza kuwekeza baada ya dewj kuweka mambo sawia pale simba. Dewj ndio aliye fanya hii ligi ipande bei kwa kuwekaza simba na hatua zikaonekana na watu tukaanza kupenda soka la nyumbani. Kitambo ilikua siwezi kuangalia mechi za ndani zaidi ya ile ya simba na yanga wakikutana. Zingine ilikua siangalii kabsa. Ila kwa sasa unakuta naangalia simba vs biashara, namungo, geita nkKabla ya hapo simba ilikjwa na thamani hiyo ya kupewa bilioni 5 kwa mwaka!? Si walikuwa simba na yanga wanapokea milioni mia 9 kwa mwaka.
Tukiacha unazi, BAKHRESA(kupitia AZAM TV) na MO(kwa SIMBA), wanahitaji pongezi kubwa saana, yanga walichokipata kuna nguvu kuwa ya mafanikio ya simba, ukitizama kwa miaka ya karibuni hakuna yanga amefanya mtu awekeze kiasi kikubwa vile.
Na nina imani sport Pesa alitaka kuwapa wote kwa pamoja kiasi kile kile, simbA akagoma.
Thamani ya mpira bongo imepanda kupitia azamtv na simba,
Umaarufu wa ligi ya bongo umepanda sababu ya simba
Wenyewe hawapendi.🤣🤣Yanga wamelamba mkataba mnono maana watacheza mechi 2 tu za CAFCL.
Pia ni mkataba mnono kwao kwa vile wanasajili wachezaji wasio na timu au mkataba na timu.
Nenda kachambe kwanza unanuka kinyesiHii imetokea Tanzania pekee yake. Thamani ya Timu kwa kulingana na mmiliki wa milele wa timu ni Tshs 20 Bilioni na Mdhamini anatoa Tsh 25.1 kwa miaka mitano. Sidhani hii kama ni kweli.