Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 378
- 510
Hivi karibuni timu zetu kubwa hapa nchini zimeingia mikataba mipya na wadhamini wao
Simba sc na MBET
Yanga sc na SPORTPESA
Hapa katikati kuliibuka fununu za simba kuachana na Sportpesa okabaki yanga na yanga alipo saini mkataba mpya watu walisema ni mkataba mnono saana wa billion 12 kwa miaka 3
Sasa leo simba imeweka wazi kwamba mkataba wao na MBET Ni wa billion 26.1 kwa miaka 5 sasa kwa Wale watalamu wa mikataba upi mzuri na klabu gani itafaidika kwa aina ya mkataba walio ingia.