Sio kika kitu kianze ulayaHii imetokea Tanzania pekee yake. Thamani ya Timu kwa kulingana na mmiliki wa milele wa timu ni Tshs 20 Bilioni na Mdhamini anatoa Tsh 25.1 kwa miaka mitano. Sidhani hii kama ni kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kika kitu kianze ulayaHii imetokea Tanzania pekee yake. Thamani ya Timu kwa kulingana na mmiliki wa milele wa timu ni Tshs 20 Bilioni na Mdhamini anatoa Tsh 25.1 kwa miaka mitano. Sidhani hii kama ni kweli.
Kuna inflation humo, usisahauBil. 12/3 = bil 4 Kwa mwaka
Bil 26/5 = bil 5.2 Kwa mwaka
Labda tusome vizuri vigezo na masharti .kabla ya kuongeza manenoo
Unatumia toilet paper au maji?Akili za MAKOLO/MBUMBUMBU bhana, kwahiyo unadhani hiyo 5.2 B itabaki kuwa na thamani hiyo hiyo kwa fedha hata baada ya miaka mitatu au minne mbele/2025/2026 [emoji848][emoji28]
Wote ni Waongo watupu Usiwaamini.Hivi karibuni timu zetu kubwa hapa nchini zimeingia mikataba mipya na wadhamini wao
Simba sc na MBET
Yanga sc na SPORTPESA
Hapa katikati kuliibuka fununu za simba kuachana na Sportpesa okabaki yanga na yanga alipo saini mkataba mpya watu walisema ni mkataba mnono saana wa billion 12 kwa miaka 3
Sasa leo simba imeweka wazi kwamba mkataba wao na MBET Ni wa billion 26.1 kwa miaka 5 sasa kwa Wale watalamu wa mikataba upi mzuri na klabu gani itafaidika kwa aina ya mkataba walio ingia.
View attachment 2310983View attachment 2310984
Vile vile inawezekana ikapata mdhamini mwingine ambae akatoa kiasi kikubwa zaidi,Miaka mitatu ya kwanza Simba itapata takribani 15B wakati kwa miaka hiyo Yanga itapata 12B. Baada ya hapo hakuna uhakika kama Yanga itapata mdhamini mwingine, maana business environment zinabadilika siku hata siku.