Klabu ipi imelamba dume kati ya Simba SC na Yanga SC kwa mikataba hii?

Hii imetokea Tanzania pekee yake. Thamani ya Timu kwa kulingana na mmiliki wa milele wa timu ni Tshs 20 Bilioni na Mdhamini anatoa Tsh 25.1 kwa miaka mitano. Sidhani hii kama ni kweli.
Sio kika kitu kianze ulaya
 
Uto wameumizwa na huu mkataba,waumie sana tena ili wazidi kujinyea.
 
Wote ni Waongo watupu Usiwaamini.
 
Miaka mitatu ya kwanza Simba itapata takribani 15B wakati kwa miaka hiyo Yanga itapata 12B. Baada ya hapo hakuna uhakika kama Yanga itapata mdhamini mwingine, maana business environment zinabadilika siku hata siku.
Vile vile inawezekana ikapata mdhamini mwingine ambae akatoa kiasi kikubwa zaidi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…